🔌 USAMS U38 — USB-A to USB-C Charging & Data Cable (2A, 1m)
Reliable daily charge — chaji haraka & data sync bila stress ✨
• Unataka kebo imara isiyovunjika kirahisi na inaochaji vizuri? U38 ni ya kila siku—inafaa simu nyingi za USB-C (Samsung, Tecno, Infinix, Xiaomi, itel, power banks).
• Grip nzuri na shingo iliyodungwa chuma huzuia kukatika mapema — nunua mara moja, itumike muda mrefu.
Benefits | Faida kuu
• ⚡ 2A fast charging + data transfer — top-ups & file sync bila kusumbua
• 🛡️ Reinforced neck & anti-slip grip — inadumu, kushika vizuri hata kwa mikono yenye jasho
• 📏 1.0 m length — perfect kwa home/car/office
• 🔁 Stable connectors — plug/unplug mara nyingi bila kulegea
• ✅ Universal USB-C fit — cases nyembamba hazisumbui
Compatibility | Ulinganifu
• USB-C smartphones & accessories: Samsung, Tecno, Infinix, Xiaomi, itel, power banks, speakers, n.k.
• Tip: Kwa spidi bora, tumia charger ≥2A.
What’s in the pack | Vilivyomo
• 1 × USAMS U38 USB-A → USB-C (1m, 2A)