Slim Smart Card Wallet
-
Warranty: Up to 7 days after receiving the product at home.
Slim Smart Card Wallet
💳 Slim Smart Card Wallet — SideSlider + Magnetic
One-hand access, cards always flat & safe — hakuna kadi kupinda ✨Pochi kubwa husababisha kadi kupinda/kuanguka na unachimba sana kutafuta. Hii wallet inaweka kadi zikiwa straight & organized, na unatoa kwa mkono mmoja — haraka kwenye cashier, benki au duka.
Benefits | Faida
• ⬆️ SideSlider — pull the lever, cards fan out neatly (one-hand) | Vuta lever, kadi zinatoka zikiwa zimetanuka (mkono mmoja)
• 🧲 Magnetic closure — snaps shut securely; nothing slips | Kufunga kwa sumaku — salama, hakuna kadi kuteremka
• 💼 Holds 6–8 cards + notes/receipts; zip pocket kwa coins/SIM | Inabeba kadi 6–8 + noti/risiti; kisi cha zip kwa sarafu/SIM
• 🪶 Slim & lightweight — haivimbi mfuko; smart kwa office & travel | Nyembamba & nyepesi — inakaa safi mfukoni
• 🎁 Gift-ready — practical & elegant kwa ladies/men | Zawadi safi — inafaa yeyote