Miwani ya Jua ya Kifahari (Men & Women) β Foldable, Anti-UV & Mwanga Mkali
-
Warranty: Up to 7 days after receiving the product at home.
Miwani ya Jua ya Kifahari (Men & Women) β Foldable, Anti-UV & Mwanga Mkali
SPECIFICATIONS
π Miwani ya Jua ya Kifahari β Foldable & Anti-UV
Hii sio miwani ya kawaida.
Ni mchanganyiko wa style, ulinzi na convenience kwa matumizi ya kila siku.
π Anti-UV yenye nguvu β inalinda macho dhidi ya mwanga mkali wa jua
π§³ Foldable design β rahisi kukunja na kubeba popote
π Mwonekano wa luxury & modern β unafaa wanaume na wanawake
π Perfect kwa driving & outdoor β inaongeza comfort na visibility
πͺ Imara & nyepesi β vaa muda mrefu bila usumbufu
π Inafaa kwa safari, kazi, beach, outings na matumizi ya kila siku.
Unavaa mara moja, mtu ana-notice.
Choice: yes
High-concerned chemical: None








