60W Travel Cable Kit — 6-in-1 Data Cable Set Organizer
-
Warranty: Up to 7 days after receiving the product at home.
60W Travel Cable Kit — 6-in-1 Data Cable Set Organizer
🔌 60W Travel Cable Kit — 6-in-1 Data Cable Set Organizer
One tiny kit for all your charging — chaji haraka, bila stress kwenye safari ✨
• Vifaa tofauti (USB-C, iPhone, Micro) + kamba nyingi begani? Hii 6-in-1 hubeba vichwa vyote kwenye casing ndogo, kila kitu kikiwa organized & ready — ofisini, kwenye gari, au safarini.
• Badilisha port sekunde chache, bila kubeba kebo nyingi.
Benefits | Faida kuu
• ⚡ PD Fast Charge hadi 60W (USB-C ↔ USB-C) — inafaa phones/tablets/laptops za kisasa
• 🔁 Multi-adapters ndani ya boksi (6-in-1):
• USB-A ↔ USB-C (18W)
• USB-C ↔ iPhone (20W)
• USB-A ↔ iPhone (12W)
• USB-A/USB-C ↔ Micro (18W)
• 🧳 Pocket size — ~107×32.5×19 mm, ~38 g: bega/mfuko, bila uzito
• 🧼 Tidy travel — hakuna tena kamba za waya; kila kitu kipo sehemu moja
• 🛠️ SIM ejector + slots — badilisha line njiani kwa urahisi
• 🔌 Short stable cable — fast charge + data sync bila kusumbua meza
Compatibility | Ulinganifu
• USB-C / iPhone (Lightning) / Micro-USB devices: simu, tablets, earbuds, power banks, kamera ndogo, nk.
• Tip: Kwa kasi ya juu, tumia charger inayounga PD/Quick Charge.
What’s included | Vilivyomo
• Casing ndogo + kebo fupi + adapters zote 6 + SIM ejector + nafasi za kuhifadhi SIM.